Uhakiki wa wanachama wa SUACHF na utengenezaji wa vitambulisho vipya

Imethibitika kwamba vitambulisho vingi vya wanufaika wa ACHF vimekwisha muda wake; aidha kuna baadhi ya wafanyakazi walikwishapoteza sifa za uanachama kwa sababu mbalimbali lakini bado wanamiliki kadi za vitambulisho na kuendelea kutumia huduma za mfuko kinyume cha taratibu. Bofya hapa kusoma kwa maelezo zaidi 

Share this page