VISION:To be a leading university in the provision of quality knowledge and skills in Agriculture and allied sciences

Zabuni ya kukodi chumba kwa ajili ya biashara

Created on 19 March 2017

Chama cha wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUASA) kinakaribisha zabuni kutoka kwa watu wenye nia na uwezo wa kukodi / kupanga Chumba kimoja kilichopo katika eneo la SUASA Club iliyoko Kampasi Kuu ya SUA. Kinaweza kutumika kwa shughuli za aina mbalimbali isipokuwa uuzaji wa vinywaji na vyakula vilivyopikwa. Chumba kina ukubwa wa takribani “Square metre” 10 na baraza lenye ukubwa wa takribani “Square metre” 30. Chumba kipo katika jengo lililopo SUASA Club upande wa barabarani. Kujua sifa za mwombaji na masharti ya zabuni,  Kujua sifa za mwombaji na masharti ya zabuni Bofya hapa >>

Sokoine University of Agriculture Units Website Ranking Results | September 2017

University wide  Website Committee (UWC) of Sokoine University of Agriculture (SUA) in its 13th meeting held on 06th September 2017 approved the results of the ranking of University website for the College/School/Faculty/Department/Institute/Directorate and Centres for the third quarter (June - September 2017).

Congratulations to the following units for being the Winner (Top three).

1. Sokoine National Agricultural Library (SNAL)

2. College of Agriculture (CoA)

3. College of Forestry, Wildlife, and Tourism (CFWT)

 

 

MISSION:Promote development in Agriculture,natural resources and allied sectors through training,research and delivery of services
Copyright © 2017 Sokoine University of Agriculture. All Rights Reserved.