Uongozi ni Dhamana, Viongozi Tekelezeni Maagizio ya Serikali - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wananchi kuendelea kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa uwajibikaji na kufahamu kuwa uongozi ni dhamana.

Rais Samia amesema hayo Aprili 12, 2024 wakati akihutubia katika Misa ya Kumbukizi ya miaka 40 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika wilayani Monduli mkoani Arusha.

SOMA ZAIDI:

Uongozi ni dhamana, viongozi tekelezeni maagizio ya Serikali - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Kumbukiza ya miaka 40 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine (Picha zote na Gerald Lwomile)

Share this page