MAOMBI YA KUTOA HUDUMA WAKATI WA ZOEZI LA USAJILI WA WANACHUO WAPYA KUANZIA TAREHE 4 HADI 17 NOVEMBA, 2019

CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO - MOROGORO

logo.png

TANGAZO

KURUGENZI YA MASOMO YA SHAHADA ZA AWALI YA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO – MOROGORO INAKARIBISHA MAOMBI YA KUTOA HUDUMA KUTOKA KWA SUASO, WAFANYABIASHARA WA NDANI YA KAMPASI ZOTE (YAANI KAMPASI KUU NA ILE YA SOLOMON MAHLANGU) WAKATI WA ZOEZI LA USAJILI WA WANACHUO WAPYA KUANZIA TAREHE 4 NOVEMBA, 2019 HADI TAREHE 17 NOVEMBA, 2019.

HUDUMA ZINAZOHITAJIKA NI KAMA IFUATAVYO:-

  1. STATIONERY (PHOTOCOPY, SCANNING, LAMINATION, FOLDERS, NOTEBOOKS, ETC)
  2. VITAFUNWA VYEPESI (CONFECTIONERIES,) MAJI, SODA NA JUISI
  3. UHAMISHAJI FEDHA KWA NJIA YA MITANDAO YA SIMU (M-PESA, AIRTEL MONEY, TIGO, ZANTEL, HALOTEL, N.K) 

TUANDIKIE AU FIKISHA MAOMBI YAKO KWA MKONO KWA ANUANI ZILIZOONYESHWA HAPO CHINI. KATIKA MAOMBI YAKO ONYESHA; HUDUMA UTAKAYOTOA, UWEZO WAKO WA KUTOA HUDUMA, NA KAMPASI UNAYOLENGA, LESENI YA BIASHARA NA “TIN NUMBER”.

NAFASI NI CHACHE CHANGAMKIA FURSA MAPEMA MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 22 OKTOBA, 2019.

IMETOLEWA NA
 
MKURUGENZI, 
KURUGENZI YA MASOMO YA  SHAHADA ZA AWALI
S. L. P. 3000
SUA – MOROGORO.
E-mail: admission@sua.ac.tz     
OFISI NA. 212
GHOROFA YA PILI, JENGO KUU LA UTAWALA KAMPASI KUU

 

Share this page