SIFA ZA MUOMBAJI
1. Vijana wenye umri wa miaka 18-35 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
2. Wajasiriamali vijana na wamiliki wa biashara ndogo.
3. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta mpakato, tablet au simu janja.
4. Kitambulisho halali (ZanID, NIDA au…