RATIBA YA WIKI YA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA 16 YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE TAREHE 9 HADI 12, 2019

sokoine-university - Copy.jpg

MUDA/SAA

TUKIO

MHUSIKA

Tarehe 7 hadi 8 Aprili 2019

8.00 Mchana – 12.00 Jioni

Kuandaa maonesho

Kamati ya maandalizi na wadau wote

Tarehe 9 Aprili 2019

2.00 Asubuhi hadi 12.00 Jioni

Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri

Wadau Wote

Tarehe 10 Aprili 2019 (Siku ya Ufunguzi)

2.00-2.30 Asubuhi

Waoneshaji kufika sehemu ya maonesho

Waoneshaji

2.30-3.00 Asubuhi

Wanajumuiya kufika sehemu ya maonesho

Wanajumiya

3.00-3.15 Asubuhi

Mgeni rasmi kuwasili

Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine

3.15-3.30 Asubuhi

Mgeni rasmi kupokelewa na kutembelea shamba darasa

Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine

3.30-4.30 Asubuhi

Mgeni rasmi kutembelea mabanda ya maonesho

Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine

4.30-4.40 Asubuhi

Mgeni rasmi kuingia ukumbini

Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine

4.40-4.50 Asubuhi

Kumkaribisha Makamu Mkuu wa Chuo kutoa neno la ukaribisho, kutambua wageni na kuzungumza na wanajumuiya ya Chuo

Mwenyekiti wa Kamati ya Maadalizi

4.50-5.20 Asubuhi

Neno la ukaribisho na kuzungumza na wanajumuiya ya Chuo

Makamu Mkuu wa Chuo

5.20-5.35 Asubuhi

Balozi Joseph Sokoine Kuzungumza

Balozi Joseph Sokoine

5.35-5.40 Asubuhi

Makamu Mkuu wa Chuo kumkaribisha mgeni rasmi

Makamu Mkuu wa Chuo

5.40-6.20 Asubuhi

Mgeni rasmi kuzungumuza na wanajumuiya wa Chuo na kufungua rasmi wiki ya kumbukizi

Mgeni rasmi

6.20-6.35 Mchana

Neno la shukurani

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha)

6.35 Mchana

Mgeni rasmi Kuondoka Ukumbini

Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine

6.35-12.00 jioni

Mkutano wa Kisayansi (Scientific Conference),  Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri kuendelea

Kamati ya Maandalizi, Daktari Mkazi, Wanajumuiya ya SUA na Wadau Wote

Tarehe 11 Aprili 2019

2.00 Asubuhi hadi 12.00 Jioni

Mkutano wa Kisayansi (Scientific Conference),  Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri kuendelea

Kamati ya Maandalizi, Daktari Mkazi, Wanajumuiya ya SUA na Wadau Wote

Tarehe 12 Aprili 2019 (Siku ya Kufunga)

2:30 – 3:00 Asubuhi

Wageni Kuwasili

Kamati ya Maandalizi/Mshereheshaji

3:00 – 3:30

Mgeni Rasmi kuwasili na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Maabara Mtambuka (Multipurpose Laboratory)

Makamu wa Rais/Waziri wa Elimu, Sayasi na Teknolojia na Makamu Mkuu wa Chuo

3.30-4.00 Asubuhi

Kutembelea shamba darasa

Mgeni rasmi, Makamu Mkuu wa Chuo/ Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Viongozi wengine

4.00 - 4:30 Asubuhi

Mgeni Rasmi kutembelea  Mabanda ya Maonesho

Makamu Mkuu wa Chuo /Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

4:30 - 4:45 Asubuhi

Mgeni Rasmi kuwasili Ukumbini

Makamu Mkuu wa Chuo

4:45 – 5.00  Asubuhi

Neno la utambulisho wa wageni na taarifa fupi ya Makamu Mkuu wa Chuo kuhusu Chuo na wiki ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine

Makamu Mkuu wa Chuo

5.00 – 6.00 Mchana

Wasilisho kutoka kwa Wachokoza Mada

Wachokoza Mada

6.00 – 7.00 Mchana

Michango kutoka kwa Washiriki

Washiriki Wote

7.00 – 7.20 Mchana

Mchango Maalum kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

Mhe. Waziri wa Elimu, Sayansi  na Teknolojia

7.20 – 8.00 Mchana

Hotuba/Mhadhara wa kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine kutoka kwa Mgeni Rasmi

Mgeni Rasmi

8.00-8.10 Mchana

Neno  la  Shukrani

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo  (Taaluma)


DOWNLOAD RATIBA YA WIKI YA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA 16 YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE TAREHE 9 HADI 12, 2019 (PDF)
 

Like & Share this page