TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KUANZIA TAREHE 04–05 DISEMBA, 2019

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine Morogoro (SUA) anapenda kuwataarifu Waombaji kazi waliotuma maombi ya kazi kujaza nafasi wazi za Chuo hicho, kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04 – 05 Disemba, 2019.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Bofya hapa kusoma maelezo zaidi

 

Like & Share this page