Usikose kutazama mbashara kipindi cha Mizani leo tarehe 31/01/2024 TBC1.
Leo Jumatano tarehe 31/01/2024 kuanzia saa 3:00 Usiku, Chuo chetu kitashiriki "Ndani ya Kipindi cha Mizani" kitakachorushwa Mbashara kupitia TBC1 hivyo usikose kufuatilia.
Mada: “Utapiamlo na jitihada zilizochukuliwa na Serikali kuutokomeza”.
Mzungumzaji: Dkt. Victoria F. Gowele, Mhadhiri katika Idara ya Lishe na Sayansi ya Mlaji - SUA.