Mafunzo ya Homa ya Papasi (Homa kwa binadamu inayosababishwa na aina ya kupe)

Event Summary

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Homa ya Papasi (Homa kwa binadamu inayosababishwa na aina ya kupe) yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 14 - 17   Disemba 2020

Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi

https://ice.sua.ac.tz/index.php/about-us/ice-news/72-announcements-of-short-courses-tangazo-la-mafunzo-ya-muda-mfupi

Like & Share this page