Majadiliano: Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa


​​​​​​​Karibu ufuatilie mjadala unaohusu “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa“ uliorushwa mbashara tarehe 10/2/2021 kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) ambapo miongoni mwa washiriki wakuu walikuwa ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (SAEBS), Dr. Philip Damas 

Mwendeshaji wa kipindi alikua ni Dkt.Ayub Rioba Chacha ambaye ni Mkurugenzi wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

SUA

Like & Share this page