Watumishi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wametoa misaada kwa zaidi ya wanafunzi hamsini wa elimu maalumu waliokuwa wakikabiriwa na changamoto mbalimbali katika shule ya msingi Kauzeni halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kitengo cha wanafunzi wenye mahitaji maalumu inayogharimu kiasi cha fedha milioni tano .
