Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli Chuoni SUA

Mapema leo, tarehe 7 mwezi wa 5 mwaka 2018, Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli alifanya ziara katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na kupata fursa ya kuzungumza na Wanajumuiya wa SUA.

Ziara ya Mh.Magufuli SUA

Mhe. Rais amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kuwa Chuo Kikuu pekee cha Kilimo nchini na chenye Kituo cha Utafiti na Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu ambacho kinafundisha panya buku ambao wana uwezo wa kutambua bakteria wanaosababisha ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa binadamu na kutegua mabomu.

Tazama kilichojiri kupitia video ifuatayo ...

 

SUA yapongezwa na Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

President-Magufuli-at-SUA-press-release

 

Like & Share this page