
|
MUDA/SAA |
TUKIO |
MHUSIKA |
|
Tarehe 7 hadi 8 Aprili 2019 |
||
|
8.00 Mchana – 12.00 Jioni |
Kuandaa maonesho |
Kamati ya maandalizi na wadau wote |
|
Tarehe 9 Aprili 2019 |
||
|
2.00 Asubuhi hadi 12.00 Jioni |
Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri |
Wadau Wote |
|
Tarehe 10 Aprili 2019 (Siku ya Ufunguzi) |
||
|
2.00-2.30 Asubuhi |
Waoneshaji kufika sehemu ya maonesho |
Waoneshaji |
|
2.30-3.00 Asubuhi |
Wanajumuiya kufika sehemu ya maonesho |
Wanajumiya |
|
3.00-3.15 Asubuhi |
Mgeni rasmi kuwasili |
Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine |
|
3.15-3.30 Asubuhi |
Mgeni rasmi kupokelewa na kutembelea shamba darasa |
Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine |
|
3.30-4.30 Asubuhi |
Mgeni rasmi kutembelea mabanda ya maonesho |
Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine |
|
4.30-4.40 Asubuhi |
Mgeni rasmi kuingia ukumbini |
Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine |
|
4.40-4.50 Asubuhi |
Kumkaribisha Makamu Mkuu wa Chuo kutoa neno la ukaribisho, kutambua wageni na kuzungumza na wanajumuiya ya Chuo |
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadalizi |
|
4.50-5.20 Asubuhi |
Neno la ukaribisho na kuzungumza na wanajumuiya ya Chuo |
Makamu Mkuu wa Chuo |
|
5.20-5.35 Asubuhi |
Balozi Joseph Sokoine Kuzungumza |
Balozi Joseph Sokoine |
|
5.35-5.40 Asubuhi |
Makamu Mkuu wa Chuo kumkaribisha mgeni rasmi |
Makamu Mkuu wa Chuo |
|
5.40-6.20 Asubuhi |
Mgeni rasmi kuzungumuza na wanajumuiya wa Chuo na kufungua rasmi wiki ya kumbukizi |
Mgeni rasmi |
|
6.20-6.35 Mchana |
Neno la shukurani |
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha) |
|
6.35 Mchana |
Mgeni rasmi Kuondoka Ukumbini |
Makamu Mkuu wa Chuo na viongozi wengine |
|
6.35-12.00 jioni |
Mkutano wa Kisayansi (Scientific Conference), Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri kuendelea |
Kamati ya Maandalizi, Daktari Mkazi, Wanajumuiya ya SUA na Wadau Wote |
|
Tarehe 11 Aprili 2019 |
||
|
2.00 Asubuhi hadi 12.00 Jioni |
Mkutano wa Kisayansi (Scientific Conference), Maonesho na Huduma za Upimaji wa Afya na Ushauri kuendelea |
Kamati ya Maandalizi, Daktari Mkazi, Wanajumuiya ya SUA na Wadau Wote |
|
Tarehe 12 Aprili 2019 (Siku ya Kufunga) |
||
|
2:30 – 3:00 Asubuhi |
Wageni Kuwasili |
Kamati ya Maandalizi/Mshereheshaji |
|
3:00 – 3:30 |
Mgeni Rasmi kuwasili na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Maabara Mtambuka (Multipurpose Laboratory) |
Makamu wa Rais/Waziri wa Elimu, Sayasi na Teknolojia na Makamu Mkuu wa Chuo |
|
3.30-4.00 Asubuhi |
Kutembelea shamba darasa |
Mgeni rasmi, Makamu Mkuu wa Chuo/ Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Viongozi wengine |
|
4.00 - 4:30 Asubuhi |
Mgeni Rasmi kutembelea Mabanda ya Maonesho |
Makamu Mkuu wa Chuo /Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia |
|
4:30 - 4:45 Asubuhi |
Mgeni Rasmi kuwasili Ukumbini |
Makamu Mkuu wa Chuo |
|
4:45 – 5.00 Asubuhi |
Neno la utambulisho wa wageni na taarifa fupi ya Makamu Mkuu wa Chuo kuhusu Chuo na wiki ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine |
Makamu Mkuu wa Chuo |
|
5.00 – 6.00 Mchana |
Wasilisho kutoka kwa Wachokoza Mada |
Wachokoza Mada |
|
6.00 – 7.00 Mchana |
Michango kutoka kwa Washiriki |
Washiriki Wote |
|
7.00 – 7.20 Mchana |
Mchango Maalum kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia |
Mhe. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia |
|
7.20 – 8.00 Mchana |
Hotuba/Mhadhara wa kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine kutoka kwa Mgeni Rasmi |
Mgeni Rasmi |
|
8.00-8.10 Mchana |
Neno la Shukrani |
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma) |