Mabadiliko ya tarehe ya kuitwa kwenye Usaili (Oral interview)

Kufuatia maombi ya kazi na utaratibu wa awali wa usaili wa kuandika uliofanyika, mnaarifiwa kuhudhuria usaili (oral interview) wa nafasi ya Mhudumu wa misitu (Forest attendant III),Mhudumu wa miliki/Mazingira (Estate Attendant III), Mhudumu wa mazao ya misitu (Logger attendant III) Mhudumu wa karakana (workshop attendant III),Mhudumu wa shamba/mifugo (field attendant III) kuanzia siku ya Jumatano tarehe 11.10.2017.| Bofya hapa kwa maelekezo zaidi

Like & Share this page