Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Kilimo Biashara na Ujasiriamali yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 21 – 24 Novemba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi