Mafunzo ya sababu za upotevu wa mavuno na namna ya kuupunguza

Event Summary

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya sababu za upotevu wa mavuno na namna ya kuupunguza yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 9 – 12  Novemba 2020

Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi

https://ice.sua.ac.tz/index.php/about-us/ice-news/72-announcements-of-short-courses-tangazo-la-mafunzo-ya-muda-mfupi

Like & Share this page