Mafunzo ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu kwa Kutumia Mfumo wa Vizuizi katika Mashamba ya Mpunga ya Umwagiliaji Maji

Event Summary

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu kwa Kutumia Mfumo wa Vizuizi  katika Mashamba ya Mpunga ya Umwagiliaji Maji yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 7 - 10  Disemba 2020

Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi

https://ice.sua.ac.tz/index.php/about-us/ice-news/72-announcements-of-short-courses-tangazo-la-mafunzo-ya-muda-mfupi

Like & Share this page