Mafunzo ya Ufugaji wa Samaki

Event Type
Training
Event Summary

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Ufugaji wa Samaki yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 19 – 22  Octoba 2020

Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi

https://ice.sua.ac.tz/index.php/about-us/ice-news/72-announcements-of-short-courses-tangazo-la-mafunzo-ya-muda-mfupi

Like & Share this page