Mafunzo ya Uzalishaji na Utunzaji wa Malisho ya Mifugo

Event Summary

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Uzalishaji na Utunzaji wa Malisho ya Mifugo yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 21 – 24 Septemba 2020

Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi

https://ice.sua.ac.tz/index.php/about-us/ice-news/72-announcements-of-short-courses-tangazo-la-mafunzo-ya-muda-mfupi

Like & Share this page