πŒπ”ππ€π’π‡π€π‘π€:Mkutano wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Waandishi wa Habari.

Mkutano wa waandishi wa Habari,Kueleza Utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2025/26 na Mwelekeo wa 2026/27,Ambapo leo ni zamu ya Prof, Raphael Chibunda Makamo Mkuu wa Chuo Cha Cha Sokoine cha Kilimo ( SUA) Morogoro kuongea na na Waaandishi wa Habari Jijini Dodoma, Kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo iliyopo kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaaa na Michezo kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Β 

Β 

Mkutano wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Waandishi wa Habari.

Share this page