Mdahalo wa Kitaifa wa Maadhimisho ya Kumbukizi Ya 18 ya Hayati Edward Moringe Sokoine

Kilele cha Maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine, yanayoadhimishwa leo katika viwanja vya Kampusi ya Edward Moringe (Main Campus). Kuna maonesho mbalimbali wote Mnakaribishwa

MUBASHARA: Mdahalo wa Kitaifa wa Maadhimisho ya Kumbukizi Ya 18 ya Hayati Edward Moringe Sokoine

Share this page