Mkutano wa Kitaaluma wa TAPSEA Na TRAMPA

Karibu ufuatilie mbashara Mkutano wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi pamoja na Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu  wakiwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

SUA tukiwa washiriki katika mkutano huo unaoendelea sasa.

 

MBASHARA: Mkutano wa Kitaaluma wa TAPSEA Na TRAMPA

Share this page