Nane nane 2022: SUA Mshindi wa kwanza kundi la vyuo vikuu na vyuo vya kati

 


Agosti 8, 2022, Maonesho ya Nane nane, Kanda ya Mashariki yaliyofanyika Mkoani Morogoro yamefika tamati rasmi ambapo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kimeibuka Mshindi wa kwanza katika kundi la Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati huku ikiibuka Mshindi wa pili wa jumla ambapo mshindi wa kwanza ni Bodi ya Sukari Tanzania.

SUA

Share this page