Ziara ya Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chuoni SUA

Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr. John Magufuli hapa Sokoine University of Agriculture (SUA)

Ziara ya Mh.Magufuli SUA

 

Mapema leo (7/5/2018) Mh. Rais alifanya ziara katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na kupata fursa ya kuzungumza na Wanajumuiya wa SUA. Mhe. Rais amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kuwa Chuo Kikuu pekee cha Kilimo nchini na chenye Kituo cha Utafiti na Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu ambacho kinafundisha panya buku ambao wana uwezo wa kutambua bakteria wanaosababisha ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa binadamu na kutegua mabomu. Tazama kilichojiri kupitia video ifuatayo

 

SUA yapongezwa na Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

President-Magufuli-at-SUA-press-release

 

Like & Share this page