Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya sababu za upotevu wa mavuno na namna ya kuupunguza yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 9 – 12 Novemba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi