Webometrics ranking 2022:​​​​​​​ SUA ranked the topmost university in Tanzania by citations

In the recent ranking results released by webometrics, Sokoine University of Agriculture ranked the first in top Universities with more citations in Google Scholar profiles among the Tanzanian Universities for the period ending January 2022, with a total of 111,886 citations compared to 98, 143 citations of July 2021

Wananchi washauriwa kutotumia dawa za tiba asili bila ushauri wa wataalamu

Hayo yamezungumzwa na mtafiti mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Frank Rwegoshora alipokuwa akiwasilisha sehemu ya matokeo ya Utafiti wake wa miaka minne aliyokuwa akifanya juu ya kemikali zilizopo kwenye mimea dawa kulingana na mazingira ya kijiografi