SUA na NEMC wajipanga kutafuta suluhisho la uhaharibifu wa mazingira na vyanzo maji bonde la mto rufiji

mradi unalenga kufanya utafiti kwenye usimamizi endelevu wa madakio ya maji kupitia tathmini ya kuimarisha mtiririko wa maji kwa mazingira na utekelezaji wake katika kulinda ukanda wa magharibi mwa bahari ya hindi kutokana na athari za shughuli za kibinadamu kwenye bonde hilo.