Serikali yaipongeza SUA kwa tafiti nzuri za kilimo nchini
Akizungumza kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Kilimo Bwana Obadiah Nyagiro katika Warsha ya kitaifa ya kutoa mrejesho wa matokeo ya utafiti wa Mradi wa Utafiti wa Sera za Kilimo Barani Afrika (APRA) iliyofanyika Mkoani Dodoma tarehe 26 O