SUA yawasilisha mchango wake kwa serikali
Hundi (Dummy cheque) hiyo imekabidhiwa na Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA, Prof. Raphael Chibunda kwa Waziri wa fedha, Mhe. Philip Mpango kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage hazina jijini Dodoma.