ORODHA YA WANAFUNZI WA SHAHADA ZA AWALI AMBAO HAWAJALIPA ADA

TANGAZO
Wafuatao hawaruhusiwi kuingia na kufanya mitihani inayoendelea na inayokuja ya Julai, 2019 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.
Orodha nyingine itawekwa muda si mrefu baada ya ukaguzi wa mfumo kukamilika. Aidha hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa atakaye kiuka agizo hili. Uonapo tangazo hili mjulishe na mwenzako.
MKURUGENZI
KURUGENZI YA SHAHADA ZA AWALI