Mafunzo ya Ufugaji wa Samaki
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Ufugaji wa Samaki yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 19 – 22 Octoba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi