Viwavijeshi vamizi: Jinamizi la wakulima Tanzania
Wadudu hawa wamesambaa kwa sasa kwenye zaidi ya mikoa 15 na wameleta athari kubwa kwa wakulima wa mahindi na sasa mahindi yanapokauka wanakula Pamba, Mihogo na mazao mengine ya biashara na chakula hali ambayo inawafanya wakulima kupata shaka na wasiwasi wa usalama wa ch