Kampasi ya Mizengo Pinda Yashiriki Kikamilifu Katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani

Maadhimisho ya siku ya nyuki duniani yalifanyika kitaifa mkoani Singida, katika viwanja vya Bombadia. Maadhimisho hayo yaliambatana na maonesho yaliyoanza tarehe 18/5/2023 na kufikia kilele chake tarehe 21/5/2023. Wadau mbalimbali walihudhuria maadhimisho hayo, ikiwemo wawakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Kampasi ya Mizengo Pinda. Kampasi hiyo ni mdau muhimu sana kwa kuwa inatoa Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali za Nyuki. Maadhimisho ya mwaka huu yalikua na kaulimbiu isemayo, “Tuwalinde Nyuki kwa Ustawi wa Mazingira na Usalama wa Chakula.”

The United Nation has appointed SUA graduate to the UN Advisory Committee 2023/2024

The United Nations has appointed Ghaamid Abdulbasat (@ghaamid.a) as a member of the International Advisory Committee (IAC) representing the youth of Africa and the world to implement the Nagoya Protocol of the United Nations Convention on Biological Diversity/Environment. The objective is to strengthen the implementation of the agreement following the launch of the biodiversity policy framework in December 2022 in Canada at the 15th Conference of the Parties (COP15), of which Tanzania is also a member.