Mkutano wa Kitaaluma wa TAPSEA Na TRAMPA
Karibu ufuatilie mbashara Mkutano wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi pamoja na Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu wakiwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
SUA tukiwa washiriki katika mkutano huo unaoendelea sasa.