Congratulatory Greetings

On behalf of SUA Management, I would like to inform you that, our 3rd year student of BSc in Forestry, Mr. Gabriel V. Nsolomo has emerged the 4th winner of Southern African Development Community (SADC), Tertiary Institution Essay Competition in 2023 on the topic "Describe the role that the Foundation Father might have played in the vision for Regional Integration" Let us join together to congratulate him for his success.

Serikali Yaipongeza SUA kwa Uzalishaji wa Vifaranga vya Samaki

Serikali imekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kuwa chanzo cha uzalishaji wa vifaranga bora vya samaki na hivyo kuwapunguzia wafugaji changamoto ya upatikanaji wa vifaranga hivyo. Pongezi hizo zimetolewa Agosti 7, 2023 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo wakati alipotembelea Banda la SUA katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayofanyika mjini Morogoro.