Mageuzi yenye tija katika sekta ya Kilimo
Fuatilia Kipindi cha Mizani kilichorushwa moja kwa moja na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) siku ya Jumatano tarehe 01 Juni 2022. Mada ilikuwa inahusu Uhakika na Usalama wa Vyakula