SUA kuchangia CHAHITA ili kuboresha elimu ya Hisabati
Hayo yamebainishwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Raphael Chibunda wakati akimwakilisha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Warsha ya 56 ya Kitaifa ya Hisabati Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chama uliofanyika Kampasi ya Solomon M