Shughuli za misitu zinufaishe jinsia zote
Akizungumza na Waandishi wa habari, Afisa wa Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka katika Shirika la kuhifadhi Misitu Asili Tanzania Simon Lugazo ameeleza kuwa tafiti ambazo zilifanyika za kuangalia maswala ya kijinsia yalivyo kwenye vijiji zinaonesha kuzaa matunda ambapo utekelezaji na matokeo unaony