Dkt. Buriani Awapongeza SUA kwa Tafiti za Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Ametoa pongezi hizo Agosti 2, 2024 wakati akifungua Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Morogoro yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mi