Uongozi ni Dhamana, Viongozi Tekelezeni Maagizio ya Serikali - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wananchi kuendelea kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa uwajibikaji na kufahamu kuwa uongozi ni dhamana.