SUA KUSAIDIA UTUNZWAJI WA MAZINGIRA NCHINI
Imebainishwa kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuwajengea uwezo watunga sera hasa Makatibu Wakuu na Wabunge kuhusu athari za matumizi mabaya ya ardhi katika maeneo ya vyanzo vya maji, Mito na kandokando ya Bahari ili kuwa na uelewa wa pamoja wa athari hizo na mna ya kukabiliana nazo kwa manufaa ya Taifa na vizazi vijavyo.