Wahitimu wa SUA waongoza kwa kutoa ajira kwa vijana wengine nchini
Mheshimiwa Maselle ambaye alisoma shahada ya kwanza na ya pili SUA amezungumza hayo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa ufugaji wa nyuki wa Kisasa kwa vijana 1500 kutoka wilaya ya Ulanga na Malinyi unaoendeshwa na kampuni ya ACLA HONEY chini ya program ya kuwajengea ujuzi vijana (SET) inayot