SUA yahitimisha Mafunzo kwa wabunifu wa mavazi
Washiriki wote waliobahatika kuhudhuria mafunzo hayo walipatiwa ujuzi na maarifa mbalimbali ya Ubunifu wa Mavazi kama vile Kanuni za Maumbo ya Mwili na Nyuso katika Kuandaa mavazi, biashara ya mavazi, pamoja na kanuni na mbinu za huduma kwa wateja.