Jaji Warioba afurahishwa na mafunzo yanayotolewa kusaidia vijana nchini
Mhe. Jaji Warioba ametoa pongezi hizo leo octoba 25, 2021 katika ziara yake ya siku mbili hapa Chuoni, akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa baraza la Chuo Jaji Othman Chande na makamu mwenyekiti wake Bi. Doroth Mwanyika.