SECOND ROUND CALL FOR APPLICATIONS FOR UNDERGRADUATE PROGRAMMES IN THE ACADEMIC YEAR 2020/2021

​​​​​​​​​​​​​​

Sokoine University of Agriculture in Tanzania invites APPLICATIONS FOR THE SECOND ROUND from qualified candidates for admission to the Undergraduate (degree and non-degree) Programs for the academic year 2020/2021. Form four; form six and diploma graduates with required performances detailed under each program are encouraged to apply. 

For inquiries: 
Call: +255737462229 OR +255737462230
Email:admission.dus@sua.ac.tz 

SUA yafaidika miaka mitano ya JPM

Kupitia Serikali ya Awamu ya Tano, Chuo kimetatua changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujenga Maabara Mtambuka Kampasi Kuu, Maabara ya Sayansi Solomon Mahlangu, kukarabati viwanja vya michezo, kuanzisha shamba la mafunzo la mfano, kukarabati Hospitali ya Taifa ya Rufaa ya Wanyama, kukarabati madarasa na mabweni, kununua mabasi, pamoja na kupanua na kusajili Hospitali ya SUA. Maboresho hayo ya miundombinu yamekifanya Chuo kuongeza programu mpya za masomo 26, kuongeza udahili wa wanafunzi kutoka 9,165 mwaka wa masomo 2015/16 hadi 13,199 mwaka wa masomo 2019/20. Katika kipindi hiki jumla ya wataalamu 13,178 ambao wamehitimu katika program mbalimbali.