Mafunzo ya Ufugaji wa Kuku
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Ufugaji wa Kuku yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 5 – 8 Octoba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi