Mafunzo ya Kilimo Biashara na Ujasiriamali
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Kilimo Biashara na Ujasiriamali yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 21 – 24 Novemba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi