Wastaafu Watarajiwa kutoka Bohari Kuu ya Dawa Watembelea Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kujifunza Kilimo na Ufugaji.

Watumishi 28 wenye umri wa kuanzia miaka 55 kutoka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) ambao wanakaribia kustaafu wametembelea Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa lengo la kupata elimu na kujifunza kwa vitendo shughuli mbalimbali za Kilimo na Ufugaji zinazofanywa na SUA ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya kazi watakazofanya baada ya kustaafu

Excellence at its Finest: SUA takes the lead in Webometrics, AD Scientific Index and EduRank Rankings

We are excited to share the latest success of Sokoine University of Agriculture (SUA), a leading public university in Tanzania, in various global university rankings. This is a testament to SUA's unwavering dedication to providing exceptional education and innovative research to its students.