Wadau wa Kilimo wahimizwa kuwekeza kwenye zao la Kahawa
Hayo yamesemwa mnamo tarehe 1 Juni 2022 na mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Joseph Rajabu Kangile alipokuwa akiwasilisha matokeo ya utafiti wa awali juu ya kutambua faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira zitokanazo na biashara ya kahawa Tanzania, Jijini Dodoma.