Mhe. Nape Kumaliza Tatizo la Mawasiliano SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Kabla ya Mwezi wa Sita Mwaka Huu.

Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wananjumiya ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Mizengo Pinda na wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoani Katavi kupata mawasilino ya uhakika wa simu pamoja na redio kabla ya mwezi wa sita mwaka huu.

STATISTICS SHORT COURSES FROM 23TH JANUARY 2023 UP 28th JANUARY 2023 TO BE HELD IN SUALISA CONFERENCE ROOM AT iAGRI BUILDING-SUA MAIN CAMPUS

Sokoine University of Agriculture Laboratory for Interdisciplinary Statistical Analysis (SUALISA) would wish to announce to the SUA community and the general public that it will offer short courses in Statistics to be held at SUALISA conference room between 9am and 4pm each day from 23th JANUARY 2023 up 28th JANUARY 2023.